Naomba mawazo yako kwenye hili swali tafadhali!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
"DUE TO ONGOING SCIENCE AND TECHNOLOGY, (ADVANCEMENT IN SCIENCE AND TECHNOLOGY), THEORIES OF LEARNING ARE USELESS IN CLASSES". HOW FAR IS THIS STATEMENT CORRECT?

Nimejaribu kufikiria sana lakini bado sijapata mawazo, na majibu ya kuridhisha, naombeni sana mawazo yenu. Natanguliza shukrani.
 
Jamani, hakuna mtu humu JF anayesoma/ aliyewahi kusoma hii course: CLASSROOM LEARNING AND INTERACTION? Au bado mnaload? kama mtu anaweza angalau hata kunidirect kwenye chanzo flani nisome ntashukuru sana.
 
rahisi tu hat kama kuna science na tech umuhimu wa learning theories kama behaviorist nk upo tu Ila sayansi inasaidia theory kufanya kazi .hapo ongelea mchango wa kila theory ktk kujifunza.

Unasoma chuo gani wewe, acha kugandisha ubongo wako wakati bado kijana...
Nenda SOED pale au CASS utapata ufumbuzi ndani ya sekunde chache tena kutoka kwa 1st yr
 
behaviorism,cognitivism,social,motivation and humanistic.source my lecture
 
Kiukweli hapo google hakuna maelezo ya moja kwa moja kuhusu hilo swali, nimejaribu ku-google lakini sijapata kitu.
 
behaviorism,cognitivism,social,motivation and humanistic.source my lecture
Sijakuelewa kabisa mkuu, hapo naona umetaja hizo learning theories tu, vipi sasa kwa mawazo yako, jinsi gani naweza kujibu hilo swali?
 
Unasoma chuo gani wewe, acha kugandisha ubongo wako wakati bado kijana...
Nenda SOED pale au CASS utapata ufumbuzi ndani ya sekunde chache tena kutoka kwa 1st yr

paparazzi, hapo haujajibu kitu. Naomba mawazo yako kuhusu namna ya kujibu hilo swali kama unaweza, kama haijakupendeza ni bora ukakaa kimya, unaposema niende/aende SOED au CASS unailaidhalilisha elimu yako, suala la kusoma chuo gani linahusika vipi? tena kwa dharau unasema "utapata ufumbuzi ndani ya sekunde chache, tena kutoka kwa 1st yr" kweli hilo swali unaweza kulijibu kwa sekunde chache? Naomba niishie hapa, nasubiri mawazo yako na sio kejeli.
 
Last edited by a moderator:

It is correct due to un relivant curriculum in science subject to the student with their environment

Sent from my BlackBerry 8520 from south-west Tanzania
 
Mimi nahisi jaribu kuangalia criteria for judging theories of learning, wengine huziita criteria for judging philosophy of education or learning. ambazo km sikosei zipo tano.

1)Based on qualitative and quantitative research findings. i-e
Quantitative involves statistical,empirical/scientific analysis of data and their interpretation.(Separation Of truth from error)
Qualitative involves the use of descriptive data, distinguish beauty from ugliness, devides right from wrong.

2)Comprehensive in its outlook and nature.
-should not be one sided, -derive its content from whole range of human experience and address squarely all problems of learning.
Hence it should:
-strike a balance between demmands if individuals and of society.
-strike a balance btn demand of childhood and maturity.
-take into account all the groups and classes of all sectors of the society.

3)Consistent and clear in its several section.
There must be
-consistency and clarity btn theory and practice i-e teaching/theory and learning process.
-aims and methods of learning.eg preparation of students for employment v/s join secondary schools or universities. Also learner cantered v/s teacher cantered approach.

4)Practical in its provision.
Should be
-adaptable to a particular time and place
-consider existing condition of life and civilization.
-take account the great social trends that characterise the age.

5)Satisfying to its adherents of followers.
-supported by its followers.
-pleasing, appealing, and also appear true, or otherwise, it will be rejected by its followers/supporters.

Niwie radhi ikiwa nimeenda mrama kdg, si unajua mwenzio elim ndogo
 
Asante

Hiki kizazi!!??

Hata kugugo unaona tabu unataka ushushiwe majibu mazima mazima.

Ndo nyie mkipewa wizara, hata hotuba mnashindwa kusoma.

mfano; badala ya Tanganyika and Zanzibar, mnasoma Tanganyika and Zimbabwe.
 
Sio kwamba nimeshindwa ku-google, nimefanya sana hayo unayoyasema, nimetembelea library, na vyanzo vingine vingi. Nimeweka hii thread kwenye jukwaa la elimu kuomba mawazo ya namna ya kulijibu/ maana halisi ya swali. Labda unielimishe hili jukwaa ni la kazi gani? Au we umeona nimepost mambo ya siasa hapa? Usipende kulinganisha watu na vilaza unaowafahamu, isitoshe pia haujui mimi ni wa kizazi gani. Wenye busara wamechangia kutokana na uelewa wao, kama ni vema na kwako pia changia.
 
Back
Top Bottom