Naomba mashabiki wa manchester united na arsenal mtuache na Liverpool yetu.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Mara hoooo!!! Liverpool awachukui ligi kuu, mara liverpool watafungwa na Spurs fainali Uefa, sisi kama mashabiki wa Liver ata tusichukue kombe lolote lakini mziki wetu mmeupata msimu huu. Tufungwe fainali ya Uefa, Epl ndo tumeishaikosa ila mziki wetu mmeucheza msimu huu. Kwa mashabiki wa Liver nafikili kocha wetu ndo awe kocha wa kudumu wa Liverpool mpaka anakufa. Emu fikilia Trent Anord nani alikuwa anamjuwa, huyu Mane cjui walimtolea wapi? Vp kuusu beki bora kabisa duniani Van Vidich? Yani wachezaji wa elfu kumi wamegeuka kuwa lulu? Asante sana Klopp umetuangazia dunia kutupa tunachokitaka.
 
Ni Kweli Mwana Watuachie Liverpool Yetu. Natamani Kama Jurgen Klop Angebaki Kuwa Kocha Wa Maisha Yuko Vizuri Kwa Kweli
 
Hatujachukua Ubingwa Wa EPL Lakini :
1. Tumefungwa Game Moko Tuesday;
2. Tumepishana Kwa Point Moko Tu, Na Bingwa;
3. Tumefikisha Points 97, Ambazo Miaka 10 Iliyopita, Zingetosha Kuchukua Ubingwa Mara 8;
4. Tumetoa Wafungaji Bora Wawili, WOTE WAAFRIKA, SALAH & MANE.
5. Tumefungwa Magoli Machache Kuliko Timu Zingine Zote, 22.
5. Tumetoa Goalie Bora, Allison Becker, Amewezesha Game 21 Bila Kuruhusu Goal Wavuni;
6. Ni Timu Ya Kwanzaa Kufikisha Points 97 Bila Kuchukua Ubingwa!
...
Ongezea Na Za Kwako!
 
Kufungwa fainali ya UCL na Spuds.
 
Hizi mbwembwe zooote bila ndoo ya EPL ni bure tu..

Ni sawa na uzi wa habari usio na picha
Hatujachukua Ubingwa Wa EPL Lakini :
1. Tumefungwa Game Moko Tuesday;
2. Tumepishana Kwa Point Moko Tu, Na Bingwa;
3. Tumefikisha Points 97, Ambazo Miaka 10 Iliyopita, Zingetosha Kuchukua Ubingwa Mara 8;
4. Tumetoa Wafungaji Bora Wawili, WOTE WAAFRIKA, SALAH & MANE.
5. Tumefungwa Magoli Machache Kuliko Timu Zingine Zote, 22.
5. Tumetoa Goalie Bora, Allison Becker, Amewezesha Game 21 Bila Kuruhusu Goal Wavuni;
6. Ni Timu Ya Kwanzaa Kufikisha Points 97 Bila Kuchukua Ubingwa!
...
Ongezea Na Za Kwako!
 
Kwani, Ina Maana Hukuona Hiyo Premier League Kinyanyanyiro Kilivyoenda? Mziki Ulikuwa Mzito Na Tulikuwa Na Ndoto Za Kubeba Ndoo Bila Kichapo
Ni kweli mkuu. Nadhan tangu nimeanza kuangali mpira (sio zamani sana) ila msimu huu mmefanya maajabu, mmepiga mpira wa maana sana.

Ila tunarudi pale pale.. Ndoo ndio kila kitu
 
Mara hoooo!!! Liverpool awachukui ligi kuu, mara liverpool watafungwa na Spurs fainali Uefa, sisi kama mashabiki wa Liver ata tusichukue kombe lolote lakini mziki wetu mmeupata msimu huu. Tufungwe fainali ya Uefa, Epl ndo tumeishaikosa ila mziki wetu mmeucheza msimu huu. Kwa mashabiki wa Liver nafikili kocha wetu ndo awe kocha wa kudumu wa Liverpool mpaka anakufa. Emu fikilia Trent Anord nani alikuwa anamjuwa, huyu Mane cjui walimtolea wapi? Vp kuusu beki bora kabisa duniani Van Vidich? Yani wachezaji wa elfu kumi wamegeuka kuwa lulu? Asante sana Klopp umetuangazia dunia kutupa tunachokitaka.

Mkuu Van Vidich ndo nani 🤣🤣🤣🤣🤣. WASUKUMA bwana hebu acheni kuharibu majina ya watu.
 
Ni Kweli Mwana Watuachie Liverpool Yetu. Natamani Kama Jurgen Klop Angebaki Kuwa Kocha Wa Maisha Yuko Vizuri Kwa Kweli
Hata Arsenal walifanya hivyo kwa Wenger na baaae walipata tabu kumtoa.
NB: Msiwatengenezee watoto wenu Shida mbele ya safari,jifunzeni kwa Arsenal na Wenger.
 
Ndoo ndio kila kitu haya mengine kelele tu.. chukueni UEFA mpoze koo mmekimbiza sana awamu hii.
Mkitoka kapa mtahamia kumpa promo Origi apewe D'or.
 
Salah Akitupia, UEFA Champions League, Akasababisha Tuchukue Ndoo, Ndio Atapewa Ballon D'Or! Si Mwingine Maana Msimu Ulopita Alichangia Sana Kuifikisha Timu Fainal, Bado Msimu Huu Tena Kawa Mfungaji Bora EPL! Ni Mafanikio Japo Kiwango Cha Magoli Kimeshuka
 
Hongereni hamkutoka bure
tapatalk_1557682929356.jpeg
 
Salah Akitupia, UEFA Champions League, Akasababisha Tuchukue Ndoo, Ndio Atapewa Ballon D'Or! Si Mwingine Maana Msimu Ulopita Alichangia Sana Kuifikisha Timu Fainal, Bado Msimu Huu Tena Kawa Mfungaji Bora EPL! Ni Mafanikio Japo Kiwango Cha Magoli Kimeshuka
Hapo Liverpool ni Van Djik ndio anafaa kuwania.. tena anaweza asipate , Messi anaitolea macho
 
Ni Kweli Lakini Kwani Kuwa Mfungaji Bora Haina Maana Weee N Mchezaji Bora? Ukizingatia Ni Misimu Miwili Mfululizo Ameshinda Kiatu Cha Dhahabu? Pia Messi Sababu Ya Kutolewa Na Liverpool Nusu Fainali Itamnyima Hiyo Prestigious Prize!
.
Kumbuka Madrid Walivyochukua Akashinda Modrich!

Nakubaliana Na Wewe VVD Atachukua
 
Mara hoooo!!! Liverpool awachukui ligi kuu, mara liverpool watafungwa na Spurs fainali Uefa, sisi kama mashabiki wa Liver ata tusichukue kombe lolote lakini mziki wetu mmeupata msimu huu. Tufungwe fainali ya Uefa, Epl ndo tumeishaikosa ila mziki wetu mmeucheza msimu huu. Kwa mashabiki wa Liver nafikili kocha wetu ndo awe kocha wa kudumu wa Liverpool mpaka anakufa. Emu fikilia Trent Anord nani alikuwa anamjuwa, huyu Mane cjui walimtolea wapi? Vp kuusu beki bora kabisa duniani Van Vidich? Yani wachezaji wa elfu kumi wamegeuka kuwa lulu? Asante sana Klopp umetuangazia dunia kutupa tunachokitaka.
Ni Van Djik
 
Ni Kweli Lakini Kwani Kuwa Mfungaji Bora Haina Maana Weee N Mchezaji Bora? Ukizingatia Ni Misimu Miwili Mfululizo Ameshinda Kiatu Cha Dhahabu? Pia Messi Sababu Ya Kutolewa Na Liverpool Nusu Fainali Itamnyima Hiyo Prestigious Prize!
.
Kumbuka Madrid Walivyochukua Akashinda Modrich!
Nakubaliana Na Wewe VVD Atachukua
Unakumbuka kipindi RIBERY amekusanya Familia yake akijua anaenda kubeba d'or..?!, hata Modrich WORLD CUP ilimbeba sana.
Tofauti na hapo angebeba RONALDO tena.. hii tuzo ina macho sana, wanagawana Spain tu.
VVD for me yuko vzr sana, Abebe UEFA aibu iwapate wagawaji.
 
Back
Top Bottom