Naomba maoni yako

MLUMENDAGU

Senior Member
Oct 31, 2014
183
31
Hivi dereva wa dalala au gari za abiria ni wanaruhusiwa kuweka mafuta katika vituo vya mafuta huku kukiwa na abiria ndani ya gari?
 
Sheria hairuhusu na hili lilishasemwa na polisi idara ya trafiki lakini mambo ya nchi hii ndo hivyo tena....!!!!
 
Hairuhusiwi kabisa, nchi zingine filling station hawaweki mafuta mpaka abiria wote watelemke
 
Inatakiwa kabla ya kupakia hakikisha umeshaweka mafuta kisha ndio ukapakie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom