Naomba makadirio ya gharama ya kumlipa fundi kuanzia msingi kuezeka kwa ramani hii

Ukitaka kujenga nyumba jenga 2rooms tu maana ukizeeka utabaki wewe na mkeo kwenye jumba kubwaaa
 
Ukitaka kujenga usipatane na fundi mmoja. Tafuta wengi wakupe quotation zao na kila mmoja mfahamishe atakaefikia bei ya chini ndiye utakae mpa kazi utapata majibu.

Wakati najenga kuna mafundi walifikia mpaka 5.5m msingi na boma. Uwezi amini nikapata fundi wa 2.5m na ni fundi nzuri sana. Nyumba vyumba 4, sebule, dining, jiko, store, vyoo public 2, mpaka nikashangaa kwa nini bei zinatofautiana sana.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom