Uchaguzi 2020 Naomba majibu ya maswali haya toka kwa CCM

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Huwa najiuliza maswali yasiyo na majibu.

Kwenye kampeni tunasikia mengi na ahadi nyingi ambazo mara nyingi hazitekelezeki:

1. Hivi mnaponadi mmefufua reli, ni serikali ya chama gani ilifilisi?

2. Shirika la ndege lilifilisiwa na viongozi wa serikali ya chama gani?

3. Mnaposema mmeleta ndege ili watalii waongezeke, kwani kuna mtalii alifanya booking akakosa ndege? Au hamjui mazingira ambayo si rafiki kwa wageni unategemea nini? Landing fee iko juu unategemea nini?

4. Nafikiri ni kipindi cha kusikiliza wagombea sasa hao wanamuziki mnaokwenda nao ndio tuwasikilize?

5. Mnapoongelea maendeleo inakuwaje nchi iwe na maendeleo ili Hali wafanyakazi wanalia njaa mshahara haupandi ila maisha yamepanda au ndo kusema utaweza kuendesha Vogue au VX wakati umelala njaa? Hata tukupeleke Serena ukalale pale ila usipopewa chakula hicho kitanda cha Serena utakiona ni jehanam.

Mwisho.

Nawashauri CCM uzeni sera zinazoendana na mazingira na hali halisi. Haya ya maendeleo waachieni wananchi watachambua.

Always don't make noise to proud for your success. Let success make noise for you.

Naombeni majibu

Jembe Afrika
 
Magufuli anataka kubadili katiba kuondoa ukomo wa Rais.

Dalili ndio hizi za kupitisha wabunge wa CCM bila kupingwa.
Kujenga uwanja wa ndege na Ikulu Chato.

Asante Thinktank
Asante PENTAGON
Quote ReplyReport
 
Huwa najiuliza maswali yasiyo na majibu. Kwenye kampeni tunasikia mengi na ahadi nyingi ambazo Mara nyingi hazitekelezeki:
  • Hivi mnaponadi mmefufua reli, ni serikali ya chama gani ilifilisi?
  • Shirika la ndege lilifilisiwa na viongozi wa serikali ya chama gani?
Magufuli alishushwa tu kutoka wapi sijui, akatua Tanzania na kupigwa butwaa kukuta nchi imepinda...believe this and you will believe anything!
 
Huwa najiuliza maswali yasiyo na majibu.

Kwenye kampeni tunasikia mengi na ahadi nyingi ambazo mara nyingi hazitekelezeki:

1. Hivi mnaponadi mmefufua reli, ni serikali ya chama gani ilifilisi?...

Kukujibu ni kupoteza muda kwa maswali yenye vioja siyo hoja.

Pamoja na mapungufu hayo, jibu rahisi linahusu kukabidhi HAZINA ya Taifa kwa viongozi wa Chama ambao pamoja na kulipwa mabilioni ya Ruzuku (kodi ya wananchi) hata choo cha ofisi waliopanga wameshindwa kujenga yenye hadhi na wao wenyewe, badala yake wakaitafuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom