Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
1. Serikali inafanya nini kuzisaidia sekta zetu zenye uwezo wa kutoa ajira nyingi kuongeza ajira?
+ Je, serikali ina lengo lolote kwa maana ya namba ya ajira inayopanga kuongeza kwenye uchumi?
2. Deni letu la taifa ni kubwa kiasi gani?
+ kuna mkakati wowote wa kulipunguza?
3. Kuna mkakati wowote mahususi kwaajili ya kukuza uchumi wetu ndani ya miaka hii mitano?
+ kama upo, ni upi? tumefikia wapi katika kuufanikisha?
4. Serikali yetu ni kubwa au ndogo ukilinganisha na serikali iliyopita?
+ Nini tofauti katika matumizi na ufanisi?
5. Nini kipaumbele cha serikali katika sekta ya elimu?
+ Tumeongeza ajira ngapi katika sekta ya elimu?
+ Riba ya mikopo ya elimu ya juu ni asilimia ngapi ya mkopo.
+ Mapungufu kati ya mahitaji ya mikopo kwa sasa na kiasi kinachotolewa ni kiasi gani?
Wadau maswali haya yamenitatiza kweli. Naomba yeyote mwenye uelewa na ushahidi wa majibu ya maswali haya tujuzane. karibu!