Naomba maelezo mafupi kuhusu viagra

hapana mkuu, inashusha pressure kwa kuongeza diameter ya mishipa ya damu, mechanism ya kusaidia mdau kuwa nyuzi tisini ni kwamba inadilate mishipa ya damu inayopeleka damu kule na kufanya nyingi iflow kuingia huko.. na ukiwa sexual stimulated damu ikiingia kule huwa inazuiliwa kutoka, ko kitu kinakuwa nyuzi 90 hadi 170 mda wote.
zenyewe zinashusha pressure ko ni contraindicated kwa wenye hypotension sio hypertension... huwa inatumika pia kutibu watu wenye shida ya hypertension

Sent using Jamii Forums mobile app
soma hapa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliwahi kula njoy 50g demu alikuwepo ninae ila alinicheleweshea mzingo, kila nikitaka naambiwa nitulie kwanza yeye yupo tu ntapewa yote sio muda hadi nikakata tamaa(sijuagi kulazimisha) mtandao unasoma 4G nmekuja kupewa yamepita masaa matano, mbona nilijuta maana dushelele lilikua dede bila ruhusa yangu.
Inakuwaga balaa hapo huangalii sura atakae kuja yoyote nikuweka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua viagra...kama nguvu ndogo mega nusu hiko kidonge meza itakusaidia sana ila ni vyema zaid kabla ya kumeza dawa ukawa umepiga/kunywa maji kama lita 1 hivi...mambo yataenda fresh

Ila kama una energy ya kutosha piga donge zima ila moyo ukitaka kutoka mi simoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi huwa natumia erecto..ila natumia mala moja moja na nakuwa na sababu..na natumia gm 50 mana gm 100 unaamka kichwa kinakuuma..sitasahau siku nimekunywa 100 gm halafu demu kaja gafla kaanza kubreed ..sitasahau kilichotokea na alikuja saa tano za usiku ili alale..sikuumwa ila nilipata tabu sana mzigo ulikuwa unasimama kila mala.. Hizi dawa sio nzuri kutumia kila mala watu wanakufa..mkuu kama hujawai anza na 50 gm huwa haizingui sana..ila tumia mala moja moja na uwe na sababu lakini.kwa miezi minne mala moja sio mbaya..byee

Sent using Jamii Forums mobile app
Amsemi bei mbona watu tuna taka kufa uku
 
Amsemi bei mbona watu tuna taka kufa uku
4500 kwa kidonge.
Nauza mimi DLDM zimepanda mwez huu tulikuwa tunauza 3500
JPEG_20231005_201836_5387127623580424527.jpg
 
Back
Top Bottom