Naomba maelekezo ya kupika chainizi

Osha chinese zako , kisha zikate kate. Zikwangulie carrot. Weka jikoni sofuria yenye mafuta (inategemeana na wingi wa mboga).Mafuta yakichemka kaanga kitunguu kikiwa brown kidogo weka chinese yako kaanga kwa dakika chache, weka chumvi kiasi, mboga tayari.
 
Aweke na nazi.
 
Osha kisha katakata mboga yako, baada ya hapo weka kwenye sufuria ichemke kidogo maji yakijichuja yatoe ( unaweza ukanywa kama supu, utaamua ) .
Baada ya hapo rudisha jikoni weka kitunguu na karoti na mafuta kulingana na wingi wa mboga acha kwa dakika chache ipua tayari kwa kuliwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom