Naomba maelekezo namna ya kutuma maombi Chuo cha Ufundi cha Karume

Poluyakhtov

JF-Expert Member
May 9, 2017
356
297
Habari za muda huu wanajukwaa,


Kama kichwa cha thread kinavyojieleza,naombeni mnisaidie juu ya suala nzima la kutuma maombi KIST.


Je,ni kwa barua,kwenda moja kwa moja chuoni au vipi?

Sijaona "Online admission panel" kwenye website yao.


Alasiri njema.
 
Check vizur in website yao, mi lazima wametoa application form. So download then print ndo utumie kufanyie maombi...
Hzo habari za barua hakunaga current
 
Back
Top Bottom