Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?Siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
Tulipotea, Yesu akaja.
Furahini, furahini, Wakristo!
Natanguliza samahani kwa kutuma hii habari jukwa hili, maana jukwaa la dini naona limefungwa.
Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?
Kazi mnayo Wakristo.
Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?
Kazi mnayo Wakristo.
Pilipili usiyoila yakuwashia nini.? Tuseme mungu wenu na muddy ndio wanaongoza dunia kwanini asifanye jua liwake kwenu tu au mvua inyeshe kwenu au atuue yeye mwenyewe sio nyie kujilipua na kuua watu.
Mkuu ni vyema ukae kimya kwa vitu usivyovielewaYaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?
Kazi mnayo Wakristo.
Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?
Kazi mnayo Wakristo.
weka picha
Our God is an Awesome God!!!! Just try Him n u 'll see His Amazing miracles!!!!shangaa na wewe kinyago!
Our God is an Awesome God!!!! Just try Him n u 'll see His Amazing miracles!!!!
Siku ya furaha, siku ya uzima