Naomba lyrics ya huu wimbo wote

Lyimo

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,826
2,017
Siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
Tulipotea, Yesu akaja.
Furahini, furahini, Wakristo!

Natanguliza samahani kwa kutuma hii habari jukwa hili, maana jukwaa la dini naona limefungwa.
 
Siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
Tulipotea, Yesu akaja.
Furahini, furahini, Wakristo!

Natanguliza samahani kwa kutuma hii habari jukwa hili, maana jukwaa la dini naona limefungwa.
Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?

Kazi mnayo Wakristo.
 
Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?

Kazi mnayo Wakristo.

Pilipili usiyoila yakuwashia nini.? Tuseme mungu wenu na muddy ndio wanaongoza dunia kwanini asifanye jua liwake kwenu tu au mvua inyeshe kwenu au atuue yeye mwenyewe sio nyie kujilipua na kuua watu.
 
Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?

Kazi mnayo Wakristo.

Soma vizuri Biblia kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo utaelewa vzuri achana na mihadhara
 
Watu wengine wana nini, Kwani ni lazima kila aabudu unachoabudu?? Mleta thread kaomba Luycrs ya huo wimbo aloandika, Nashangaa wengine wanadakia kana kwamba wana hati miliki ya wanachokiabudu.
 
Pilipili usiyoila yakuwashia nini.? Tuseme mungu wenu na muddy ndio wanaongoza dunia kwanini asifanye jua liwake kwenu tu au mvua inyeshe kwenu au atuue yeye mwenyewe sio nyie kujilipua na kuua watu.

aiseeeee babayangu nimeipenda hii
 
Yaani mungu alikaa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa (miezi 9 hiyo sijui dunia ilikuwa ikiongozwa na nani) halafu akazaliwa?

Kazi mnayo Wakristo.
Mkuu ni vyema ukae kimya kwa vitu usivyovielewa
 
That's why our God is an Awesome God!!!! Just try Him n u 'll see His Amazing miracles!!!!
 
Siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
Tulipotea, Yesu akaja.
Furahini, furahini, Wakristo!

Natanguliza samahani kwa kutuma hii habari jukwa hili, maana jukwaa la dini naona limefungwa.

kafo Lyimo
hura kitapu lanye, shiku ikumi tupu.
 
Last edited by a moderator:
Wanafiki wafunge midomo, lyrics hizi hapo kaka yangu.

1. siku ya furaha, siku ya uzima aliyozaliwa Yesu.
:: Tulipotea Yesu akaja.
furahini, furahini
wakristo.

2. siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
::Yesu ashuka, atuokoe.
Furahini, Furahini wakristo.

3. Siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
::Malaika wote
wamsifu Mungu.
furahini, furahini Wakristo.

Lyimo kazi kwako, ushauri niliokupa juu tafadhali zingatia.

THREAD CLOSED.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom