aise JF-Expert Member May 16, 2018 4,111 11,835 Jun 4, 2020 #1 Nimepoteza simu wakuu, kuna namba muhimu sana humo. Kuna uzi niliuona humu ukiwa na maelezo (link) ya kupata namba kupitia Facebook. Msaada.
Nimepoteza simu wakuu, kuna namba muhimu sana humo. Kuna uzi niliuona humu ukiwa na maelezo (link) ya kupata namba kupitia Facebook. Msaada.
marco polo jr JF-Expert Member Mar 31, 2020 363 1,770 Jun 4, 2020 #2 Fanya hv yule mwamba anaitwa hackboy msearch utauona Uzi ndo njia rahisi kuupata
Gentleman96 JF-Expert Member Mar 12, 2019 912 1,666 Jun 4, 2020 #3 https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
Mkogoti TAPELI Mkubwa May 3, 2020 2,416 3,911 Jun 4, 2020 #5 Asante nimeicheck bana ni balaa majina toka 2012 duu noma sana
C chotera JF-Expert Member May 19, 2016 6,305 15,033 Jun 11, 2020 #7 Shukruni kwa serikali ya awamu ya tano kwa kufanikisha hili na hapa apongezwe mheshimiwa Rais
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,060 23,939 Jul 13, 2020 #9 Erick96 said: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts Click to expand... cute eyes
Ghiti Milimo JF-Expert Member Jul 18, 2011 4,343 6,403 Aug 17, 2020 #11 Inside10 said: cute eyes Click to expand... Nami nimefaidika kwa kuyapata majina niliyokuwa nayatafuta. Shukraan! Mwalim19 said: nilikua nautafuta huu uzi.. Click to expand...
Inside10 said: cute eyes Click to expand... Nami nimefaidika kwa kuyapata majina niliyokuwa nayatafuta. Shukraan! Mwalim19 said: nilikua nautafuta huu uzi.. Click to expand...
kikiboxer JF-Expert Member Dec 22, 2017 3,065 8,126 Aug 17, 2020 #12 Namba zinarudi zote kama umepoteza simcard? Na je kama natumia kitochi pia zitarudi?
Ghiti Milimo JF-Expert Member Jul 18, 2011 4,343 6,403 Jun 24, 2021 #14 Gentleman96 said: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts Click to expand... Ahsante mkuu!
Ben baba Member Dec 31, 2015 69 34 Jun 27, 2021 #16 Jaman nakopi moja moja au Kuna shortcut ya kupakia? Msaada tafadhal
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,056 141,865 Jun 27, 2021 #17 Natumae mleta mada umepata muongozo...
kagombe JF-Expert Member Mar 1, 2015 3,508 1,642 Jul 1, 2021 #18 Hongereni kwa kufanikiwa na watu waliopotea je wanapatika?
cabo JF-Expert Member Jun 15, 2016 4,669 5,033 Oct 25, 2021 #19 Aisee namba za miaka hiyo naziona ni noma
Ghiti Milimo JF-Expert Member Jul 18, 2011 4,343 6,403 Nov 2, 2021 #20 kagombe said: Hongereni kwa kufanikiwa na watu waliopotea je wanapatika? Click to expand... Hata waliokwisha kufa!
kagombe said: Hongereni kwa kufanikiwa na watu waliopotea je wanapatika? Click to expand... Hata waliokwisha kufa!