Naomba kwa Mungu ifikapo mwisho wa mwaka huu niwe naye!

Sasa preta mpango wetu uliishia wapi??maana naona ngojangja inaumiza tumbo pls.
 
unaomba wapi sasa?
yumo jf unamwambia au unatoa matamanio yako tu hapa afu hufanyi chochote
 
Back
Top Bottom