Kishongo
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 932
- 64
Mimi ni Mtanzania ninayeipenda nchi yangu.
Nimefurahishwa sana na jinsi Mhe Slaa alivyobadilisha mizania ya kisiasa Tanzania.
Hata hivyo siridhiki na baadhi ya mambo.
1. Ushauri uliotolewa wa kugeuza issue ya container lililokuwa vipodozi kule Tunduma kuwa ajenda ya kisiasa lilikuwa ni kosa kubwa.
2. Kuwadanganya wananchi kwa kutoa ahadi zisizotekelezeka kuhusu elimu na vifaa vya ujenzi - hii ndio imechangia kupunguza kura za mgombea.
Ombi: Naomba niongezwe katika jopo la washauri wake ili makosa yaliyojitokeza kwa kiongozi huyu kukurupuka na kuongea mambo bila ya kufanyia utafiti yaishe.
Nawasilisha.