Naomba!!: Kuulizwa swali jamani kuna fursa za mtandaoni unaweza nufaika free bila kiingilio??

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,622
2,428
Maana naona fursa nyingi ni janja janja wanakwambia utavuna free but at the end huoni matunda yake mpk nakoswa imani kwa free money without kutoka jasho ,juzi nimeona uzi wa ndugu TECH eti maujanja jinyakulie pesa mkononi kwa kutuma picha then ikikidhi vigezo utalipwa !!mmmmmhh me naona siyo kweli coz kils mtu pesa huitafuta kwa jasho awe cheupe su cheusi so hakuna wa kugawa pesa for free ila kama kuna fursa mshajaribu na zinawalipa naombeni mtujuze.
SORRY KAMA NITAWAKERA BUT NIMEELEKEZEA KWENYE JUKWAA LA TECH
 
No Free Money Online but kuna couple of online jobs for freelancers!!!

Kuna kazi ambazo ni very competitive na zingine less competitive!

Competitiveness inatokana na aina ya kazi! Kuna kazi zingine almost anybody mwenye basic computer skills anaweza kufanya... kama vile Data Entry! Hizi ni crazy jobs!!

Zipo kazi ambazo si kila mmoja anaweza kufanya bali ni taaluma ambayo wengi wanayo...
 
kuna kitu kinaitwa pyramid schemes ambapo wa juu yaani mmiliki na wale wa mwanzo ku adapt huo mfumo wanafaidika wakati nyie walalahoi wa chini mnafanya kazi kubwa huku mkiwafaidisha watu isome zaidi hapa

Pyramid scheme - Wikipedia

hivyo ukiona mtu anakuja na maneno matamu anakupa njia za kuwa tajiri ujue kuna uwezekano mkubwa wa kuingizwa humo.

njia za kupata hela online zipo ila kwa Tanzania unapata kidogo sana sababu waleta matangazo wengi wana target mataifa makubwa kama usa na uingereza.

hizi ni baadhi
-kupata hela kwa kuclick matangazo
-kupata hela kwa kuangalia video
-kupata hela kwa kudownload application na kuzijaribu
-kupata hela kwa kujaza survey
-kupata hela kwa kualika watu waje kufanya vitu hivyo hapo juu etc

sema kwa Tanzania unaweza pata shilingi 20 tu kwa kuclick tangazo au kuangalia video fupi, tofauti na nchi kama Marekani ambao wanapata mara 10 au zaidi ya hapo.

ila kama wewe mjanja unaweza ukatengeneza na wewe pyramid yako kwa kualika watu, kila atakaejisajili na yeye kupata hela wewe unalipwa bila kufanya kazi.

mfano unakuta mtu amelika watu 100,000 analipwa 10% ya kile ambacho hao jamaa watakifanyia kazi mfano kwenye hao 100,000 kila mmoja akipata shilingi 100 utapewa shilingi 10 hivyo utakuwa na milioni 1 bila kufanya kazi,

lakini sio rahisi kualika watu laki 1 inahitaji uwe na influence sana au uwe na site kama jamiiforums hivi yenye watembeleaji wengi.

kama unataka kujaribu clixsense ni nzuri kuanzia icheki hapa

Make Money Taking Surveys, Earn Free Cash Online, Paid Per Click Advertising | ClixSense
 
RIGHT... bila kusahau Neobux.

Enzi hizo nilikuwa naipenda zaidi Neobux kuliko Clixsense kwa sababu Neobux wana option ya referrals renting ambayo muhimu sana hususani kama hauna blog na/au hauna uwezo wa ku-drive traffic mwenyewe!

Kwangu mimi Clixsense & Neobux ndio best PPC.
yah ni kweli neobux walikuwa vizuri, zamani hata vpn hazikuwa common sana, ulikuwa unaweza kucheat nchi unayotoka bila wao kutambua, ila siku hizi kila vpn wanaijua.
 
Matapeli kivipi mm naamini kuna watu wanakula kupitia social network
 
kuna kitu kinaitwa pyramid schemes ambapo wa juu yaani mmiliki na wale wa mwanzo ku adapt huo mfumo wanafaidika wakati nyie walalahoi wa chini mnafanya kazi kubwa huku mkiwafaidisha watu isome zaidi hapa

Pyramid scheme - Wikipedia

hivyo ukiona mtu anakuja na maneno matamu anakupa njia za kuwa tajiri ujue kuna uwezekano mkubwa wa kuingizwa humo.

njia za kupata hela online zipo ila kwa Tanzania unapata kidogo sana sababu waleta matangazo wengi wana target mataifa makubwa kama usa na uingereza.

hizi ni baadhi
-kupata hela kwa kuclick matangazo
-kupata hela kwa kuangalia video
-kupata hela kwa kudownload application na kuzijaribu
-kupata hela kwa kujaza survey
-kupata hela kwa kualika watu waje kufanya vitu hivyo hapo juu etc

sema kwa Tanzania unaweza pata shilingi 20 tu kwa kuclick tangazo au kuangalia video fupi, tofauti na nchi kama Marekani ambao wanapata mara 10 au zaidi ya hapo.

ila kama wewe mjanja unaweza ukatengeneza na wewe pyramid yako kwa kualika watu, kila atakaejisajili na yeye kupata hela wewe unalipwa bila kufanya kazi.

mfano unakuta mtu amelika watu 100,000 analipwa 10% ya kile ambacho hao jamaa watakifanyia kazi mfano kwenye hao 100,000 kila mmoja akipata shilingi 100 utapewa shilingi 10 hivyo utakuwa na milioni 1 bila kufanya kazi,

lakini sio rahisi kualika watu laki 1 inahitaji uwe na influence sana au uwe na site kama jamiiforums hivi yenye watembeleaji wengi.

kama unataka kujaribu clixsense ni nzuri kuanzia icheki hapa

Make Money Taking Surveys, Earn Free Cash Online, Paid Per Click Advertising | ClixSense
Shukrani chief mkwawa kwa kunipa mwanga
 
Kwa kipindi hiki kupiga hela online inahitaji na wewe uwekeze kidogo...Siku hizi facebook wamebana sana kwenye kushare post kwenye groups mana hata juzi nlipunguza speed na delays za kushare wakaleta ki pop up ambacho sijawai kukiona kwa nna fanya spammimg! Duh nlishtuka, Kwa wale wanaotengeneza fake f.bs na kualika watu wasiowajua f.b siku hizi ni fasta sana wanakudisable account yako, Kwa sasa kupata traffic kupitia f.b wamebana mno, Labda uziboost kwa hela
Kuweni makini kuna mitandao kama vixice.com kuna tutorial kabisa zipo za kukudabganya uvute mpunga kwa kazi ya kualika watu wapya, Hio njia imebuniwa na hackers waliotengeneza hio site ya kitapeli ili wapate slaves wa kuwaongezea watu kwenye mtandao wao...Na walivyokua wapuuzi ukitaka kuchomoa pesa kwa kazi ya kualika wenzio unablokiwa fasta sana
 
RIGHT... bila kusahau Neobux.

Enzi hizo nilikuwa naipenda zaidi Neobux kuliko Clixsense kwa sababu Neobux wana option ya referrals renting ambayo muhimu sana hususani kama hauna blog na/au hauna uwezo wa ku-drive traffic mwenyewe!

Kwangu mimi Clixsense & Neobux ndio best PPC.
Kupitia hii kitu wanakulipa na pesa unaipata haina ujanja?
 
Back
Top Bottom