Tatizo la waandishi wetu wa habari ni kutofanya follow up. Jambo likishatoka kwenye headlines basi unakuwa ndiyo mwisho wake. Hakuna investigative reporters wa kufuatilia na kuchokonoa mambo.Si ajabu kafungwa kifungo cha maisha na viboko arobaini bila ya kupitia mahakamani.
Je! aliye mpa mwinyi Kibao yupo wapi?
'Uchunguzi bado unaendelea' as usual..