Naomba kuuliza..

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Hivi wadau kuna kipindi tulisikia kuwa yule jamaa aliyekuwa anaendesha mtandao wa ZE UTAMU uliojizolea umaarufu mkubwa wakati ule alikamatwa na kurejeshwa Bongo ili ashtakiwe, sasa yule jamaa kaishia wapi mbona hatujasikia akifunguliwa mashtaka?
 
Si ajabu kafungwa kifungo cha maisha na viboko arobaini bila ya kupitia mahakamani.
 
Wewe unase huyo je yule Vithlan Wa kesi ladder aliyekamatwa Italy wakasema ataletwa yuko wp?
 
Si ajabu kafungwa kifungo cha maisha na viboko arobaini bila ya kupitia mahakamani.
Tatizo la waandishi wetu wa habari ni kutofanya follow up. Jambo likishatoka kwenye headlines basi unakuwa ndiyo mwisho wake. Hakuna investigative reporters wa kufuatilia na kuchokonoa mambo.
 
Inasemekana kuwa alikuwa mtoto wa kigogo fulani labda ndio maana kesi yake haisikiki.
 
oooooh!!!!hivi hujawahi kusikia wazee wanasema 'dogo angalia sana utapotea' uups mwanangu kuna adhabu ya kupotea !!!! Haina mahakama hiyo! Suti nyeusi tu inamaliza kazi!
 
Back
Top Bottom