Naomba kuuliza

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,628
Wadau naomba kujuzwa aina za biashara ambazo hazina mtaji mkubwa sana.zina malipo kwa kupatana kati ya mwajiriwa na mwenye biashara,kwamba utakua unanilipa kiasi Fulani kwa siku.au kwa wiki.
Mwenyewe hawezi kuzisimamia na kuziendesha mwenyewe.
Je unaweza kuniorodheshea hizo biashara.na malipo yake kwa siku au wiki kwa kipindi hiki?
Shukrani.
 
hizo lazima uwe na mtaji wanakulipa kwa kamisheni sio wakupe laini na mtaji no
Hujaelewa.namaanisha naanzisha biashara naweka kijana aisimamie kwa makubaliano snipe kiwango fulan kwa siku au kwa wiki.
Sasa mpesa ntafungua mie.tutapatanaje?
 
Hujaelewa.namaanisha naanzisha biashara naweka kijana aisimamie kwa makubaliano snipe kiwango fulan kwa siku au kwa wiki.
Sasa mpesa ntafungua mie.tutapatanaje?
Trend ya wateja ndio kipato chako sasa labda uanze kukadiria elfu 50 kwa mwezi mpesa awe anakupa au 70 huneda anaweza akafikisha na kuzidi hapo itategemea
 
Back
Top Bottom