hahahahaaaMkuu nadhani sahihi ingekuwa ipi simu afadhali!
j9, j10, cdhan kama zimetoka bora kama unapesa chukua c10 ambayo ni cx na cx air, cx air ina mp16 na 32 gb, ram 3Je, kati ya Tecno: y4,y6, c9,c10, j8, j9 na j10 ipi ni simu bora zaidi?
Mkuu nadhani sahihi ingekuwa ipi simu afadhali!
Nashukuru kwa mchanganuo wako.j9, j10, cdhan kama zimetoka bora kama unapesa chukua c10 ambayo ni cx na cx air, cx air ina mp16 na 32 gb, ram 3
Naomba tufahamishane zaidi, mkuu.Hapo umetaja unazozijua ila phantom series sijaziona.
Kingine umekosea hapo kuwe miy series... Tecno simu zao nzuri ni Phantom series...Naomba tufahamishane zaidi, mkuu.
Mkuu kwa series yake hiyo ya tecno inaonesha wazi bajeti yake alioitenga ni chini ya 300K kwenye A series ya samsung sidhani kama ataweza labda J anaweza kupata.Achana na tecno mkuu jaribu hata Samsung A or J series.
Tecno sio simu za kudumu
yeah ajaribuMkuu kwa series yake hiyo ya tecno inaonesha wazi bajeti yake alioitenga ni chini ya 300K kwenye A series ya samsung sidhani kama ataweza labda J anaweza kupata.
Kivip tecno sio sim kwan mpaka kifaa kinapewa jina LA cm mpaka inaitwa smartphone inamana kimekidhi vigezo sema2 watu wanajikakamua kuonekana wasikuhizi kutumia tecno sio kwamba hujui cm kwamfano tecno j8 shngap na samsung note3 shngap!!! Mi nmepigiwa video call na note3 kiukwer yan sura inametoka mibox tupu ila yy kaniona vizur2Tecno sio simu