Naomba kuuliza

Mie napita acha walimu wachangie ila ninatangazo nasikia walimu Wa michepuko ya sayansi sa hiv wanasoko kubwa la kupata wachumba ila wawe makini mana ata sis walimu Wa arts tumeanza kutafuta walimu Wa sayans mana sa iv ajira yao iko sokoni
 
Walimu inaaminika ni walezi wazuri wa familia, maana kama anaweza kulea watoto wa mtu mwingine huko shuleni tena wengine wakorofi basi hata nyumbani atatimiza wajibu huo vizuri. Education Psychology walimu wa kike wanaizingatia vyema na wanaifuata na wengi wao wanaitekeleza.
 
Kwa sababu ni sekta ambayo ajira yake inaeleweka na wana ratiba isiyo badilika badilika,hawana semina za kila kukicha,vikao mia mia siku za weekend sio vingi. Ila hio ni zaman siku hizi baadhi waalimu vijana wanawaharibia wengine sifa kwa matendo yasiyofaa.
 
Umetisha mkuu. Pia walimu mara nyingi hawana "gharama" wala matarajio makubwa.
 
Uko sahihi mkuu.
Kwa sababu ni sekta ambayo ajira yake inaeleweka na wana ratiba isiyo badilika badilika,hawana semina za kila kukicha,vikao mia mia siku za weekend sio vingi. Ila hio ni zaman siku hizi baadhi waalimu vijana wanawaharibia wengine sifa kwa matendo yasiyofaa.
 
automatically wanakuwa wachumi kwa sababu ya hali ya mishahara wanayopata hivyo ukimwambia hali ni ngumu wanaelewa tofauti wanawake wa sector zingine.
 
Back
Top Bottom