Naomba Kuuliza: Yale ya Goms Yalikuwa Yanafyatuliwa au Yalikuwa Yanafyatuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kuuliza: Yale ya Goms Yalikuwa Yanafyatuliwa au Yalikuwa Yanafyatuka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 23, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Yaani bomu zima-zima liruke hewani lenyewe? Likatue chini ndo lilipuke?

  Kutoka Goms hadi Ubungo? Lenyewe tu kavukavu linaamua 'sasa naruka zangu from here to kinyerezi then nikifika huko najilipuaaa'! lenyewe tu?

  ndo maana nauliza.
   
Loading...