Naomba kuuliza wataalam wa sheria!!

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Hivi Kisheria Imekaaje, RAIS Anapofanya Uteuzi Wa WABUNGE, Kisha ANAWATEUA Kuwa MAWAZIRI Na Kuwaapisha Kwa Ajili Kuanza Kuitumikia Nafasi Hiyo!! Kabla Ya WABUNGE Hao KUAPISHWA Na BUNGE, Ili Kuuthibitisha Ubunge Wao!!! Je Suala Hili Kisheria Limekaa Vipi!!!?? Naomba Kuwasilisha!!
 
inabidi kujiridhisha kwanza kama hawakuapishwa....maana mbunge si lazima aapishwe dodoma tukiwa tunaona live...hata ofisi ya bunge Dar es salaam wanaweza apishwa..
 
Hii kitu ilishajadiliwa sana humu. Ilianza kujadiliwa wakati ule Prof. Muho go alipoteuliwa na JK kuwa mbunge na kuapishwa kuwa waziri kabla ya kuapishwa kuwa Mbunge. Nijuavyo mimi ni kwamba kama hujaapishwa kuwa mbunge huwezi kufanya kazi za kibunge kama vile kuww kwenye kamati ama kuingia bungeni na kujibu maswali. Hivyo basi nategemea akina Dr. Mahiga wataingia bungeni na kuapishwa kabla hawajachukua nafasi zao za mbele za uwaziri pale bungeni.
 
Asante Mkuu Kwa Kunipa Drs!! Nimekusoma Kumbe Wanaweza Kufanya Kazi Za UWAZIRI Kabla Ya KUAPISHWA Rasmi Kuwa WABUNGE!!! Swali Jingine Mkuu, Hivi Ili Uwe MBUNGE Si Lazima Uapishwe Kwanzaa, VINGINEVYO Atakuwa Ni Mteule Tu Aliyetangazwa Na Msimamizi Tu!! Na Ili Uwe Waziri Lazima Uwe MBUNGE!!! Sasa Hapo Ndipo Ukakasi Nioupata!!!
 
Back
Top Bottom