Naomba kuuliza wapi nitapata injini bora ya mtumba ya mark 2 gr (4s)

conservative3

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
1,116
762
naomba kuuliza wapi nitapata injini bora ya mtumba ya mark 2 gr,shafti ilishachongwa nataka kubadili moja kwa moja injini maana gharama za kuchonga na kununua baadhi ya vipuli naona ni ghali kiasi,kuna watu wamenishauri nitafute injini mpya.msaada tafadhali
 
Jomba izo gari ni za kizamani sana kanda ya ziwa ndo izo gari zipo nyingi mwanza na shinyanga na msoma iyo engine hukosi mwanza nenda pamba road me nilikuaga fundi wa magari kipindi ya nyuma izo engine ni ngumu sana kufa andaa kama m1.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda big brother, kama upo dar... halafu ulizia mabwepande... utakutana na mi engine ya 4s had utakimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom