Naomba kuuliza utaratibu wa kutumia ili kupata Kitambulisho cha utaifa

plainpaper

Member
Oct 12, 2018
71
60
Habari za asubuhi wanajamvi, naomba kuuliza kuhusu utaratibu naoweza kuutumia ili kupata Kitambulisho cha utaifa. Wakati mawakala wanapita kuandikisha katika mitaa yenu nilikuwa nchi jirani nikiimuuguza mzazi hivyo sikupata nafasi ya kuandikishwa. Ni utaratibu gani naweza kufuata ili nipate kitambulisho
 
pole kwanza kwa kuuguliwa.. m nadhani n vizuri uende ofisi za NIDA zilizokaribu na wewe ili uweze kupata majibu sahihi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom