naomba kuuliza mhe. zitto kabwe je kaoa/ana mke

Status
Not open for further replies.
Ila G. Thinkers mmezidi kuwa harsh! Dah yani mmemshambulia kama mpira wa kona. Punguzeni.
 
hao waliooa hawana lolote walilofanya zaidi wao na familia zao wanafuna kodi za wananchi tu.....
 
Inasikitisha kukuta mtu yuko above 30s lakini anajifanya kijana na kufungia suruali tumboni! Hawa ndiyo wanatuharibia mabinti zetu.
 
Hana mke, hana mchumba hivyo hajaoa. #kwamujibuwakeyeyemwenyewe
 
Mhuni yule hajaoa.
Tunakutana nae kila leo asubuhi pale Movenpick akila breakfast na washkaji.

wanajavi JF naomba kujibiwa hilo swali, mwaka huu 2012 nimeanza kufuatilia makala na speech za mhe. zitto kabwe. nikawa najiuliza huyu mheshimiwa je ana mke yaani kaoa. nikishapata jibu nitawaambia kwa nini nauliza hivi.

natumaini hamtanishambulia baadhi yenu hahahahhhaa
 
Mkitaka kujua Thread hii ni umbea Business basi nukuu sentensi ya mwisho ya huyu jamaa hapo kwenye Red!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom