Naomba kuuliza maana ya alama hizi

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
845
573
.....mara nyingi nnapokuwa safarini. Vile vibao vya kuonyesha direction au kwenye google map..uwa naona alama hizi....
...
1468000864735.jpg
 
Alama hii inaonyesha kutakuwa na njia panda mbele yako,
 
Kwa uwelewa wangu hizo ni namba zinazowakilisha jina la barabara fulani.
 
Kweli JF ni kisima cha maarifa.Natumaini watakuja wanaojua na watatupa ufafanuzi mzuri,nimefuraji sana mleta madavkuulizia ulichouliza.
Mkuu uwa natatizwa sana na hivi vitu...natumai nitapata majibu hapa
 
Aisee hata mimi hizo alama zinanichanga sana, hua nawaza labda hiyo T18 inaonyesha kiwango cha uzito kinachoruhusiwa kwenye hiyo barabara ni tani 18 but sina uhakika

Na hizo B12, B6 nazionaga tu
 
Hizo T 18 au T8...umaanisha nini...

Watalam wa haya mambo mko wapi...

.....mara nyingi nnapokuwa safarini. Vile vibao vya kuonyesha direction au kwenye google map..uwa naona alama hizi....
...View attachment 364294

Anauliza hizo alama za t18.

Sasa mfano T18..ni umbali gani

Hayo ni majina ya Barabara

T= Trunk road/ barabara kubwa,
T18 = Trunk road 18, Trunk road 8, ni codes za barabara.

Na hio 300m ni Mita 300, sasa hicho kibao kinaonyesha Mita 300 mbele kuna round about - ambayo ina barabara kuu #18 na # 8 katika mwelekeo huo.
 
Aisee hata mimi hizo alama zinanichanga sana, hua nawaza labda hiyo T18 inaonyesha kiwango cha uzito kinachoruhusiwa kwenye hiyo barabara ni tani 18 but sina uhakika

Na hizo B12, B6 nazionaga tu
Hizo huwa nahisi zina husiana na geographical direction
 
Back
Top Bottom