Yote hii ni effects za pornograph ambazo nyingi huonesha mwanamke kama chombo cha kumrdhisha mwanamme. Kuna post niliituma hapa jana ikapoteaghafla ilikuwa na article in pdf ambayo inaeleza kiuwazi kabisa madhara ya pornograph na masterbation mojawapo likiwa ni hili la kuwatoa thamani wanawake na hata kuwaita majina ya ajabu ajabu! hii post siioni sijui mods wameiweka wapi sbb hata nikiserch post zangu siioni!!!:embarrassed::frusty:
Kwanini wanawake/mabinti wanaitwa majina haya?
Wadudu/ dudu...?
Vyombo/chombo..?
miwashawasha/washawasha....?
mizigo/mzigo/zigo...?
n.k,
Kuna sababu gani ya haya majina?
Je, Mkuu na wewe ulishawahi kujiuliza kwanini wanaume wanaitwa:
ATM,
BUZI/MABUZI
***** LANGU
..................n.k.?? Tafakari, Chukua hatua! tit for tat!!
Itakuwepo nenda chumba cha 2 au cha 3 mkuu
Lakini wenyewe hawalalamiki kabisa
Haipo mkuu, labda waeamua kuhamishia jukwaa kubwa ambako sina access, lakini haikuwa ya kikubwa na niliitoa ili iwe fundisho na kwa vijana wadogo wanaoangalia porn na kufanya musterbation:focus: . Kuhusu hayo majina mkuu sidhani kama wanayapenda hata kama wamekaa kimya sbb kwa mtu mwenye akili timamu kumuita majina hayo si rahisi kuafikiana nayo, immagine wengine wanawaita Paka, Choo!!! nadhani ungeipata ile article ukaisoma ungekubaliana nami sbb ya hawa kuitwa hivyo. Lakini kwa mtazamo wangu si vyema kuwaita hivo.
Hili najua kwa sababu ya kutoa fedha kwa mabinti
Na kuwapa starehe za vinywaji na nyamachoma
Nikigeuka kushoto mwanamke!kulia mwanamke!mbele mwanamke!nyuma mwanamke!
Hii inazidisha nizidi kujiona nilivyo wa thamani,,asante Mungu kwa kuniumba mwanamke.