Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Moja kwa moja mada yahusika
Hivi msingi wa kuogopa kifo kwa wanadamu ni nini?
Unaweza pata experience yoyote? Kwamba kuna maumivu au baada ya kufa ndio kuna maumivu?
Hata mimi najua nitakufa lakini naogopa kufa sababu sizijui ila naogopa tuu.
Wataalamu wa nadharia za kiroho hebu tumsaidie,hofu ya kifo inaletwa na nini?