Naomba kuuliza kwa mtu anayefahamu hospital ya Aga khan iliyopo Tabata

Uliza ilipo baa ya great park baada ya kituo cha barakuda ila pale bima ya NHIF mpaka miez miwili iliyopita waikuwa hawapokei sijui sasa maana bado ni mpya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom