Naomba kuuliza kuusu kombe la spotpesa

Bingwa: Sh70mil.
IMG-20190122-WA0002.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam wanaonyesha maana bado sijasikia.
Michezo yote SportPesa Super Cup mbashara
Today, 13m ago | Shabiki NambaMoja
Kampuni ya DSTV iliingia makubaliano na SportPesa kuonyesha mbashara michuano ya SportPesa Super Cup inayoanza leo jijini Dar es salaam
Mchezo wa kwanza leo utapigwa saa nane mchana kati ya Singida United dhidi ya Bandari Fc kisha kufuatiwa na mchezo wa pili kati ya Yanga dhidi ya K. Sharks

Michuano hiyo pia itaonyeshwa mbashara kupitia chanel za TBC1 na Star TV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bigwa anachukua $30,000 mshindi wa pili ni $ 10,000 mshindi watatu 7,500 mshindi wa nne 5,000 na waliobaki wa nne kila mmoja anabeba $ 5,000 bigwa mbali na kubeba 67 milioni za kitanzania kama miongoni mwa timu zinazo dhaminiwa na sport pesa anapata zawadi nyingine isiyopungua milion 200. Mwisho kabisa bigwa atacheza na club ya evarton ya uingereza kwenye uwanja wa nchi ambayo imechukua ubigwa.

Sasa kama bigwa wa ligi ya kuu tanzania bara anapata milioni 80 na ligi inachezwa mwaka mzima na bigwa wa sport pesa anapata kalibia milioni 70 la mashindano yana chukua wiki moja tu yani mechi tatu tu kipi bora?
 
Timu za mpira zinatafuta heshima tu..ndio maana Ulaya wachezaji wananunuliwa kwa pesa nyingi ambazo huwezi kuzirudisha kwa kushinda vikombe..
 
Kwahyo unataka kuniambia club za ulaya zinatengeneza asala kila mwaka?
 
Faida yao hawategemei kwnye makombe makombe yao yana pesa ndogo sana kama ubingwa wa EPL hauzid paund millions 100 lkn team zinasajili usajiri zaid wa hyo pesa bado gharama za kuwalipa mishahara bado wafanyakz wengine gharama kama zote .......makombe ni kujipima ubora wako ili upate wawekezaji kupitia ubora wako sawa na Simba SC waliofny usajiri wa mabilion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom