Naomba kuuliza kuhusu kazi za serikali

EveningStar

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
262
162
Habari wakuu,

Nasikia mtu ukipata ajira serikalini huwa ni permanent mpaka unastaafu. Je, kuna vitu vyovyote vinaweza kupelekea mtu kuachishwa kazi au kupoteza kazi?
 
Unaposema ajira serikalini unamaanisha nini??

Maana kuna Serikali kuu, Serikali za mitaa, Taasisi za Serikali, Mashirika ya Umma, Mamlaka za serikali na nyingine.

Sasa swali lako halijibiki broo labda uwe specific.
 
Nazungumzia Taasisi za serikali, mashirika , na mamlaka mkuu
 
Back
Top Bottom