Naomba kuuliza kitu kuusu kazi data ya utumishi.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Kwanza za hasubui ndugu zanguni? Baada ya salamu naomba kuuliza kitu kimoja.

Kwa mfano upo kwenye kazi data ya utumishi nawamepenga kukuita kazini kwa kazi walizotangaza hivi karibuni lakini kwakuwa wewe ujui kama upo kwenye kazi data yao ikabidi uombe hizo kazi mpya walizotangaza. Hivi watakuita kwenye usaili au watakupotezea kwa kuwa wanajuwa wewe ni miongoni watakaoitwa kazini?
 
INATEGEMEA MKUU
 
Back
Top Bottom