Naomba kuuliza kazi ya PCMCIA CARD SLOT

Hiyo kitu ina kazi gani kwenye hizi Smart TV

Kwa kuzingatia Computer device/Laptop za awali.

PCMCIA slot ni expansion slot kwa portable computers ambazo hazina uwezo wa kupokea PCI card (Hazina PCI slots kama desktop). Hivyo ili kuweza kuongeza kifaa cha ziada ilitakiwa kuweka PCMCIA Card kwenye PCMCIA slot.
Baadhi ya nyongeza zinazopatikana katika PCMCIA card ni kama vile:- TV Tuner, USB ports Expansion, Serial Port (i.e RS232/DB9 connector), Serial Port/Printer Port, Multimedia Ports (I.e fireWire port, HDMI port, VGA port, Sound port) Etc
 
  • Thanks
Reactions: M12
PCMCIA ni teknolojia ya kwanza kabla ya USB ,

chukulia vitu kama usb flash drive , wifi dongle, bluetooth dongle, usb modem ivi vyote hutumia mfumo wa usb kuwasiliana na pc/tv yako

sasa kitambo kitambo usb ilikua haipo, pcmcia ( parallel com ) na RS 232 ( serial com ) ndio zilikua zikitamba kama mifumo ya usafirishaji data kati ya peripherals ( modem,wifi device,bt device,hdd(IDE)) na pc/tv

Kujibu swali lako, iyo slot utaweza pachika flash au modem zenye pcmia interface kama ya namna hii

802.11g PCMCIA Wifi Card for Compaq Laptop | eBay wifi dapater iyo

INTEGRAL Model 8170PA, VIPER 170, 170MB PCMCIA Hard Disk Drive | eBay IDE HDD
 
  • Thanks
Reactions: M12
Back
Top Bottom