Naomba kuuliza je, rangi zipi zinafaa kupakwa nje na zipi zinafaa kupakwa ndani?

Nje paka weatherguard darkgrey,
Ascot grey,
Diamond,broken white,Apricot,khaaaa
Or Rain hizi ni baadhi ya rangi zilizopo vyema

Kama mfuko unaruhusu unaweza kupaka conemix hii ni hesabu ya mpaka uzeeni

Au Mineral stone(drewa)

Ndani weka Silk

Kwa sasa strawberry,Wildlilac,lemon chiffon zina fanya vyema zaidi

Unaweza kunakshi kwa Mineral stone, glass stone or marmarito na silk plaster

Pia kuna 3D painting zipo kwenye hatua za mwanzoni Mwa majaribio aisee ukiwa na pesa ni kitu amazing kwa nyumba yako

Ukihitaji karibu Weatherguard nitakuuzia kwa 90,000
Silk 110,000

All products ni za Turkey
 
Mbona hujaweka na kapicha??
 
Mkuu rangi kwa nje tumia weatherguard na kwa ndani tumia silk

Weatherguard ni rangi iliyotengenezwa mahsusi kuendana na mabadiliko ya hali ya hewa katika vipindi vyote eg.Mvua,Jua,Baridi

Silk ni rangi yenye muonekano mzuri na mng'ao wa pekee huvutia zaidi kama ukuta utakuwa umeandaliwa vizurii (i.e Plaster &Skimming) kabla ya kuipaka

Bei ya weatherguard na Silk ina range kati ya 130k mpaka 180k kwa ndoo ya lita 20
Kampuni nzuri ya rangi kwa sasa ni Plascon ikifuatiwa na Coral,goldstar,kiboko .... nk.

Pia unaweza kutumia rangi za Jotun ni kampuni toka Norway kiasili rangi zao ni bora sana lakini pia bei zao zimechangamka ndoo moja ya 20Ltr utaipata si chini ya 300k

Pia kuna decorative paints na effect mbalimbali hizi sana zipo kwenye kampuni ya kituruki ya Silkoat vitu kama Drewa(stones) Conmix,Marmaritto,Prestige,Pearl,Palace nk.
 
Nje paka weatherguard darkgrey,
Ascot grey,
Diamond,broken white,Apricot,khaaaa
Or Rain hizi ni baadhi ya rangi zilizopo vyema

Kama mfuko unaruhusu unaweza kupaka conemix hii ni hesabu ya mpaka uzeeni

Au Mineral stone(drewa)

Ndani weka Silk

Kwa sasa strawberry,Wildlilac,lemon chiffon zina fanya vyema zaidi

Unaweza kunakshi kwa Mineral stone, glass stone or marmarito na silk plaster

Pia kuna 3D painting zipo kwenye hatua za mwanzoni Mwa majaribio aisee ukiwa na pesa ni kitu amazing kwa nyumba yako

Ukihitaji karibu Weatherguard nitakuuzia kwa 90,000
Silk 110,000

All products ni za Turkey
Wengine tunajua rangi nyekundu, blue, nyeusi, kijani na njano tu.

Weka tu picha basiii
 
Nyote mliochangia mmeelezea vyema ila kwa picha zaidi kuhusu langi tafuteni Thread yangu ambayo nimefafanua na kwa picha zaidi,mimi ni fundi mzoefu, kama kuna swali nakaribisha
 
Ndio maana nimesema Elimu inahusika, wewe huna elimu ndio maana umehitimisha hivyo, elimika kidogo utalewa.
Rangi za ajabu ajabu zinachosha macho na ubongo pia, soma ujielimishe shosti angu.
Daah nakuonea hata huruma mkuu vile unacompare elimu hapa, swala ni ID tu itakua wazi

Anyway ngoja nikuache na unaloona ni sahihi kichwani mwako na mimi nibaki na langu
 
Nje paka weatherguard darkgrey,
Ascot grey,
Diamond,broken white,Apricot,khaaaa
Or Rain hizi ni baadhi ya rangi zilizopo vyema

Kama mfuko unaruhusu unaweza kupaka conemix hii ni hesabu ya mpaka uzeeni

Au Mineral stone(drewa)

Ndani weka Silk

Kwa sasa strawberry,Wildlilac,lemon chiffon zina fanya vyema zaidi

Unaweza kunakshi kwa Mineral stone, glass stone or marmarito na silk plaster

Pia kuna 3D painting zipo kwenye hatua za mwanzoni Mwa majaribio aisee ukiwa na pesa ni kitu amazing kwa nyumba yako

Ukihitaji karibu Weatherguard nitakuuzia kwa 90,000
Silk 110,000

All products ni za Turkey
Weather guard yako brand gani?
 
IMG_9881.jpg

IMG_9882.jpg

IMG_9883.jpg
 
Daah nakuonea hata huruma mkuu vile unacompare elimu hapa, swala ni ID tu itakua wazi

Anyway ngoja nikuache na unaloona ni sahihi kichwani mwako na mimi nibaki na langu
Siyo swala la kuniacha, jielimishe.
Kabla ya kupiga rangi nyumba, tafuta wataalamu, si muuzaji, muuzaji hajali, anawweza kukuuzia hata rangi nyeusi upige chumbani kwako ilimradi imtoke kwenye stock yake.
Kila rangi ina pahala pak na watu wake, mazingira na dhumuni,
 
Daah Mkuu tatizo unanilazimisha kukubaliana na ww ilhali mm nimeshaamua Kua ubaki na mtazamo wako na mimi nibaki na wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom