Naomba kuuliza huu utaratibu kuhusu kupata kazi ya vibarua serikalini?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Wadau kwema,

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza yani ipo hivi naskia mara kuna kiwanja cha ndege kinataka kujengwa kuanzia Mwezi huu tarehe 30 ndo wanaanza hizo process, ila sijajua vibarua utaribu huwa unakuwaje? Ili kupewa kazi kwenye hizo tenda za ujenzi wa kiwanja cha ndege.

Nawaomba wenye uzoefu tuambizane maana wanasema watakijenga kwa miezi 20 hivi sasa hapo kuja kumaliza si utakuwa una hela si haba.

Karibu kwa maoni na ushauri.
 
Habari?

Familia mzabuni aliepewa iyo tenda ya kujenga na nenda kaombe kazi kwenye iyo kampuni.
 
Back
Top Bottom