Naomba kuuliza hivi nchi yetu tulioyonayo ni amani au utulivu?

agprogrammer

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
468
360
Nimejikuta nikijiuliza hili swali pasi jibu kamili hivi ni kweli Tanzania ipo amani au utulivu, maana kuna baadhi ya vitu vinavyotokea vinavyoashiria kutokuwa na amani mfano wafugaji kuwavamia wakulima na kuwajeruhi pamoja na kuharibu mazao, wachimbaji wadogo kupigwa mabomu ya machozi pamoja na risasi za moto na mambo mengi kama hayo. Je hyo iliopo ni amani au utulivu naomba msaada wenu.
 
Back
Top Bottom