Body Armory
Member
- Jun 24, 2021
- 19
- 7
Napenda kufahamu kuhusu utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha nne maana naamini humu walimu wapo wanaohusika na wanaorudia mitihani hyo, je wanaorudia mtihani huwa nao wanakuwa na continious assesment(CA) pili wao mitihani yao inasahihishwa na kupewa alama kwa utaratibu upi?
Tatu na mwisho kuna ulazima wa kufanya test za mitihani kama mwanafunzi aliyeko shuleni,
Ahsanteni.
Tatu na mwisho kuna ulazima wa kufanya test za mitihani kama mwanafunzi aliyeko shuleni,
Ahsanteni.