Naomba kuuliza, aliyesoma chuo akapoteza vyeti afanye nini?

Kuna utaratibu gani mtu anaweza akatumia kufanikisha swala LA kurudisha vyeti vyake kutok chuo au college husika Miss moro
 
Kiufupi fika katika chuo ulichosoma na ukiwa na loss report ya kutoka police. Hivyo kwakuanzia, katoe taarifa kituo cha polisi kisha watakupa note na utaenda nayo katka hicho chuo watakupatia nakala au cheti kingine ikiwezekana.
 
Sawa nshukur mkuu
 
Back
Top Bottom