Naomba kutoa hoja ya kwamba, Uchaguzi wa 2020 uwe wa Ubunge

yumoki

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
278
250
Mgejua kupunguza gharama msingekuwa mnanunua madiwani na wabunge na kuitisha chaguzi ndogo zisizo na tija. Leo uchaguzi mkuu ambao Upo Kikatiba usifanyike u must be a certified fool.

Point to be noted this guy is crazy
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom