Naomba kutajiwa majina ya Makabila yanayopatikana nchini Tanzania au Kenya

Bakari China

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
251
583
Habari wakuu!

Siku hizi ninafanya utafiti wa lugha zinazotumiwa na makabila nchini Tanzania na Kenya. Tafadhali nisaidie kutaja majina ya lugha hizo.

Shukran
 
Kiswahili ni lugha rasmi, lakini nataka kujua lugha za makabila kama Kikuyu. Tafadhali nisaidie
Asanteni sana
 
Habari wakuu! Siku hizi ninafanya utafiti wa lugha zinazotumiwa na makabila nchini Tanzania na Kenya. Tafadhali nisaidie kutaja majina ya lugha hizi.
Shukran
41.png
 
Makabila ya Tanzania;

1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi)
2. Waakiek
3. Wameru
4. Waassa
5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati)
6. Wabembe
7. Wabena
8. Wabende
9. Wabondei
10. Wabungu (au Wawungu)
11. Waburunge
12. Wachagga
13. Wadatoga
14. Wadhaiso
15. Wadigo
16. Wadoe
17. Wafipa
18. Wagogo
19. Wagorowa (pia wanaitwa Wafiome)
20. Wagweno
21. Waha
22. Wahadzabe (pia wanaitwa Wahadza na Watindiga)
23. Wahangaza
24. Wahaya
25. Wahehe
26. Waikizu
27. Waikoma
28. Wairaqw (pia wanaitwa Wambulu)
29. Waisanzu
30. Wajiji
31. Wajita
32. Wakabwa
33. Wakaguru
34. Wakahe
35. Wakami
36. Wakara (pia wanaitwa Waregi)
37. Wakerewe
38. Wakimbu
39. Wakinga
40. Wakisankasa
41. Wakisi
42. Wakonongo
43. Wakuria
44. Wakutu
45. Wakw’adza
46. Wakwavi
47. Wakwaya
48. Wakwere (pia wanaitwa Wanghwele)
49. Wakwifa
50. Walambya
51. Waluguru
52. Waluo
53. Wamaasai
54. Wamachinga
55. Wamagoma
56. Wamakonde
57. Wamakua (au Wamakhuwa)
58. Wamakwe (pia wanaitwa Wamaraba)
59. Wamalila
60. Wamambwe
61. Wamanda
62. Wamatengo
63. Wamatumbi
64. Wamaviha
65. Wambugwe
66. Wambunga
67. Wamosiro
68. Wampoto
69. Wamwanga
70. Wamwera
71. Wandali
72. Wandamba
73. Wandendeule
74. Wandengereko
75. Wandonde
76. Wangasa
77. Wangindo
78. Wangoni
79. Wangulu
80. Wangurimi (au Wangoreme)
81. Wanilamba (au Wanyiramba)
82. Wanindi
83. Wanyakyusa
84. Wanyambo
85. Wanyamwanga
86. Wanyamwezi
87. Wanyanyembe
88. Wanyaturu (pia wanaitwa Warimi)
89. Wanyiha
90. Wapangwa
91. Wapare (pia wanaitwa Wasu)
92. Wapimbwe
93. Wapogolo
94. Warangi (au Walangi)
95. Warufiji
96. Warungi
97. Warungu (au Walungu)
98. Warungwa
99. Warwa
100. Wasafwa
101. Wasagara
102. Wasandawe
103. Wasangu (Tanzania)
104. Wasegeju
105. Washambaa
106. Washubi
107. Wasizaki
108. Wasuba
109. Wasukuma
110. Wasumbwa
111. Waswahili
112. Watemi (pia wanaitwa Wasonjo)
113. Watongwe
114. Watumbuka
115. Wavidunda
116. Wavinza
117. Wawanda
118. Wawanji
119. Waware
120. Wayao
121. Wazanaki
122. Wazaramo
123. Wazigula
124. Wazinza
125. Wazyoba
 
Back
Top Bottom