Naomba kusaidiwa tofauti Kati ya Umeme wa Tanesco na Umeme wa REA

Jan 5, 2020
4
20
Mimi sifahamu sana lakini ninavojua ni kuwa REA ni kama ufadhili ulioingia Tanzania kwa lengo la kusambaza umeme vijjni lakini umeme huo ni wa Tanesco na ndo maana hata wafungaji au likitokea tatizo tanesco ndo huwajibika. Nimekujibu si kitaalam ila ni kwa jinsi ninavyoelewa mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Katavi yetu

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
816
1,000
REA kwa kimombo ni rural electricity authority. Hivyo, ni kitengo ndani ya wizara ya nishati kilichopewa mamlaka kusambaza umeme vijijini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom