Naomba kusaidiwa namba ya huduma kwa wateja NMB tafadhali.

dryface

Member
Jan 11, 2015
66
60
Wakuu khabari zenu,

Ndugu zangu naomba kuuliza,kama kuna mtu anajua namba ya NMB huduma kwa wateja.

Tofauti na zile zinapatikana Kwenye NMB mobile.
 
For inquiries on NMB mobile please contact call center on (mobile) 15566 or (landline) 022 2161500.
 
Kuna uzi special humu hebu ucheki Jukwaa la habari na hoja mchanganyiko au wacheki Facebook wana respond haraka
 
Back
Top Bottom