Naomba kusaidiwa Mawazo Toyota premio na Nissan Skyline

Forecaster

Senior Member
Nov 22, 2013
192
98
Ninaomba mnisadie mawazo yenu wanajamvi kati ya Nissan skyline na Toyota Premio

zote za mwaka 2014 ni ipi nzuri katika gharama za uendeshaji na matengenezo na safari ndefu ipi nafaaa.

Nipo nje yamkoa wa Dar es salaam

Nitashukuru kwa mawazo yenu.
 
For cheaper spare parts, go for Toyota.

But for durable but un-available and expensive spare parts, go for Nissan.

Akili kumkichwa!!
 
gari 2014 ya 2014 umepta wapi? au vidole viliteleza? otherwise go for Toyota Premio, cc zisizidi 1490. sina hofu kuhusu mileage kwani gari 2014 haijaanza hata kutembea. hapa nadhani umetoa order maalum. otherwise kama ulimaanisha 2004 basi itangia hapa Tz
 
Mlaji ndio muamuzi wa mwisho...ila Toyota vs Nissan kuna mengi ya kuzungumzwa...
Nissan Skyline 2004

9k=
2004-2006_NISSAN_SKYLINE_SEDAN_V35_250GT_FOUR_rear.jpg

images


Toyota Premio 2004

toyota_premio_3657708_3_orig.jpg


542334d1207515480-toyota-premio-2004-sale-p1010006_x6m_pakwheels-com-.jpg
 
Back
Top Bottom