Naomba Kusaidiwa.. Hii ni Ibada ya Freemason Kweli?

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
Najua Kuna Freemason humu hebu mtuambie ndio ibada ipogo hivi?


 
hahaa.mkuu umenifraisha uvosema,kuwa unajua humu kuna freemason..kweli bhana kam wamo watuambie aseee.
 
Kwani free mason ni dini!?
Si ni umoja wa wetu wenye, idea flan flan kuhusu maisha!!?

Mason siyo religion ni fraternity
Kwa hiyo huwez sema wana ibada wala hawawezi kuwa na ibada.
So huo ni mkutano?
 
Mbona naona kama vile Roman catholic, au tumekuwa mafrimason bila kujijua
 
yaah iyo ni Ibada ya freemason,,miongoni mwa vitu muhim na lazima ni bendera 2 pale mbele na wahumini wake lazima wavae suti nyeusi,,shati jeupe na necktai nyeusi,,hao wengine ni waalikwa,,anayeongoza misa ana cheo cha Master Masoni yaani ana degree 3,,dgree za Masonic ni 33 na wanaomiliki izo km Tony Blair,,George Bush,Obama etc
 
Happy new year mam
Supermarket kwa kweli aliniambia ana enda kuhesabiwa then hatuja wasilian mpaka leo na nimejaribu kuuliza watu wake wa karibu nao hawajui
Ila taratib za kumtafuta zendelea
ha ha kumbe mtani wetu mm na kaka Bonny endelea kumtafuta bado tunamuhitaji asije akawa amepotea kwenye matambiko yao
 
Back
Top Bottom