Naomba kusaidiwa gharama za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kutengeneza maji

mkuu kuna uzi mwingine wa kuhusu kiwanda cha maji. Jaribu kuupitia, kuna baadhi ya mambo nimechangia kule. LInk yake hii hapa.


kuna tofauti kiasi kati ya mashine za juice na maji.Tofauti ni kwenye machine ya washing,filling and capping.Inaitwa 3-in-1.Utofauti wake ni kwenye juice ama tea inaitwa hot filling wakati upande wa maji sio hot filling.Lakini kama malengo ni kutengeneza fresh juce (pulp juice) unaweza pata machine ya 4-in-1.pia kama ni carbonated drinks kama coca,pepsi sprite nk ambazo zinakuwa za PET unaweza pata 3-in-1 machine na proces zingine zitakuwa ni kama za kutengeneza maji tu.
NB:SIFANYI KAZI KIWANDANI WALA SIUZI MASHINE HIZI,ILA NINAONGEA KWA UZOEFU WANGU WA MIAKA ZAIDI YA 5 KWAKUWA NIMEWANUNULIA WATU WENGI HIZIMASHINE TOKA HUKU NILIKO NA NIMEHUDHURIA TRAINING NYINGI ZA UFANYAJI KAZI WA MACHINE KABLA SIJA SHIP KWENDA KWA MUHUSIKA.
 
Hizi ni baadhi ya kazi nilizozikagua kabla sija fanya shipment

 
hizi ndizo machine za washing,filling and capping (3-in-1) na pia kuna 4-in-1) ya fresh juice.
Gharama ya complete set ya kiwanda cha maji ni kuanzia 50,000$ .Hii inategema components za capacity kiasi gani umechagua.
I hope nimekusaidia kwa kiasi fulani. All the best

1.jpg
3.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom