The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,448
- 17,147
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.
Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.
Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.