Naomba kura zenu hapa tafadhali

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
512
324
Mimi ni mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji kwa tiketi ya CCM, mgombea mwenzangu anawakilisha vyama vya upinzani. Ukiandika CCM kura ni yangu, ukiandika 'UPINZANI" kura itakuwa ya mgombea wa upinzani.

Kura zitahesabiwa 24/11/2019 huruhusiwi kurudia, ushindi utakaopatikana hapa utakuwa ushindi wa nchi nzima, nikishinda mimi wa CCM nchi nzima wenyeviti wa vitongoji/mitaa watakuwa wa CCM, hali kadhalika wakishinda wapinga maendeleo.

Haya twende kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom