Naomba kupewa ufafanuzi ,Raisi mstaafu kikwete aliacha shilingi ikiwa 22100/=na sasa ni shilingi 23000/=kwa usd dollar

BUSTA

Member
Sep 22, 2018
18
4
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
 
Umeandka kwa upotoshaj.dola moja sio elfu ishirin na tatu Bali ni elfu mbili mia tatu
 
Nyie wote hamjui kitu Acha tubaki gizani wte
blaugrana-20181217-0001.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom