nzumarijr
Senior Member
- Dec 10, 2016
- 177
- 111
Wakuu habarini za mwisho wa wiki, nimatumaini yangu kuwa mubukheri wa afya.
Naomba kunyoosha moja kwa moja katika dukuduku langu......
Ili kuwa nileo jioni wakati nipo na wazee wangu, punde akaja kiongozi wa mtaa(balozi) akitutaka tutoe shilingi 3000 kila kaya kwa ajili ya mchango wa madawati shuleni.
Hivi, ndugu zangu simkuu wakaya alikuwa akihubiri kuhusu elimu bure wakati wa kampeni......???
Nabado anaendelea kuhubiri akisaidiana na washirika wake.....
Kama hakuwa na uwezo kwa nini alidiriki kutamka...??
Jamani kwa sasa maisha yamebana sana kwani kuna watu hata uhakika wa milo mitatu hawana.....
wakuu naomba kuwasilisha....