Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,492
- 2,357
Habari Great Thinkers!
Wiki hii nimejaza fomu kwenye website ya Uhamiaji. Nini natakiwa kufanya baada ya hapo?
Viambatanisho gani natakiwa kuwa navyo tofauti na walivyoorodhesha kwenye website yao?
Natakiwa kusubiri wanipigie simu au niende mwenyewe? Na deadline ni mda gani baada ya kujaza fomu na kulipa ile 20,000?
Kuna haja ya lawyer? Au cheti cha kuzaliwa kipitie Rita?
Naomba msaada wenu tafadhali maana nimeshajaza fomu na kulipia
lakini sijui ni hatua gani inafuata.
Naomba kuwasilisha
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app